Tomito Tomato
Senior Member
- Feb 11, 2017
- 167
- 444
Tokea ateuliwe kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam niseme tu ukweli sijawahi kubahatika kumwona Mkuu wa Mkoa ambaye anafanya Kazi zake vizuri kabisa na kiueledi kabisa kama Mkuu wa Mkoa kipenzi cha Watanzania, Mungu na hadi Malaika wake kama Ndugu Paul Christian Makonda.
Ni Kijana mwenye maono, mcha Mungu mzuri halafu ni hazina kubwa sana kwa nchi kwa baadae na ninavyoona kama Makonda ataendelea hivi hivi basi sina shaka kuwa muda wowote atachaguliwa kuwa Mbunge na hatimaye Waziri.
Kwa jinsi ninavyomuona tu Kijana Makonda naona kabisa uwezo wake mkubwa hata wa siku moja yeye kuja kuwa Rais wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Nimegundua pia kuwa Watu wote wanaomchukia Makonda iwe humu jf au huko mitaani ni kwamba wana Wivu nae tu kwakuwa anatenda Kazi zake vizuri sana.
Kwako Mheshimiwa Makonda usiogope wala kutishwa na Mtu yoyote yule hapa Tanzania, fanya Kazi yako na ningekushauri kwakuwa juzi uliwaingilia Clouds Media Group basi usichoke pia kuzipitia na Media zingine ambazo na zenyewe zimejaa Unafiki mtupu bila kusahau huku mitaani na maofisini mwetu.
Nipo nyuma yako Mkuu wa Mkoa wangu mpendwa Paul Christian Makonda na amini kuwa Tomito Tomato nipo pamoja nawe na nitakuwa nawe hadi pale mwisho wa pumzi yetu hapa Tanzania. Nakupenda sana Makonda na kweli Wewe umeletwa na Mwenyezi Mungu kuja kutuongoza sisi wenye jicho la husuda na Uongozi wako.
Na nitoe ombi Kwako Mheshimiwa Rais Magufuli tafadhali kama ulikuwa una mpango wowote ule sijui wa kuwasikiliza hao Wanafiki wengine ambao kila uchao wanakaa tu kumjadili Makonda tena mitandaoni kuwa hafai na umtumbue nakuomba Mheshimiwa Rais wangu Mkuu wako wa Mkoa Paul Christian Makonda ni Kiongozi mzuri mno na usimfukuze Kazi au hata kuwazia Kumtumbua.