PresidentSalum
Senior Member
- Dec 3, 2006
- 189
- 21
Kwa kuwa yule mkuu amedai kwamba hapelekeshwi, na haambiwi, kwa kifupi mkuu ameonyesha jeuri na kiburi cha hali ya juu kwetu sisi watanzania, nadhani itakuwa vizuri tukianza kuangalia ni jinsi gani tunaweza kufanya "lobbying" ya wabunge wa JMT kuangalia njia gani inaweza kutumika kuhakikisha Makonda anachukuliwa hatua. Hapa naamini tukipaza sauti, hakika tutasikika. LET US DO SOMETHING THAT HAS NEVER BEEN DONE BEFORE.
Kingine kilichonifechua, ni hatua yake ya kuingilia mihimili mingine ya serikali. Kwa sasa, nchi imekuwa two people show. Mkuu na mwanae Makonda. Hapa naweza kusema mihimili mingine "haifanyi kazi". Tukifanya masihara, nchi inaweza kucollapse.
Tumwageni contacts za wabunge wote hapa na majimbo yao au hata kama wa viti maalum au wale wa kuchaguliwa na rais. Bunge linakaribia kuanza, lets encourage our MPs wapige kelele bungeni mpaka Magogoni wasikie.
Kama ni muamko, basi tuuanzishe hapa... Nina imani tutasikika tu.