Ng'wanapagi
JF-Expert Member
- Sep 18, 2013
- 9,116
- 8,652
Unaweza ukafikiri na kukufuru kuwa labda mungu ni mwoga kwa binadamu wake aliowaumba, lakini mwishowe utakuja kupata jibu kuwa uhuru ukipata kiasi, ukasahau mila na desturi zako na baadae ikatokea nchi iliyoingia ubia na nchi za kishezi za Magharibi hatima yake ni hii.
UKIWA SOUTH AFRICA
(A) Usimtukane shoga ama msagaji kwani utaishia jela au faini
(B) Wasagaji na mashoga katika hii nchi wanatambuliwa na kupata stahiki zao kama wewe mtanzania mwezangu kisa tu Africa ya Kusini isiwekewe vikwazo na wakoloni wao (Wazungu)
(C) Kutongozwa na shoga huku usichukulie bifu wewe mwambie tu tena sio kwa ukali.......am not in that status buddy ukimwambia kwa ukali mara atakuitia polisi kuwa umemdhalilisha!!!
NB: Waafrika tuna laana na naungana na Mseveni na naamini hata Magufuli hata ruhusa Upuuzi huu nchini kwetu.
Mungu nilindie mtoto na wadogo zangu na hii aibu