Nijuze zilipo ofisi za E-FM

Nijuze zilipo ofisi za E-FM

choupa moting

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2016
Posts
1,508
Reaction score
2,577
Wadau habarini za kushinda. Nina shida ya kujua ofisi za Efm kwa hapa Dsm zko maeneo gan.
Natanguliza shukran asanten sana.
 
Wiki moja kabla ya Max wa jamii media kukamatwa na wanausalama kwenda nyumbani na ofisini kwake kwa ukaguzi kuna mtu alikuja na uzi hapa kuomba kuelekezwa zilipo ofisi za jamii forums sasa na wewe tena duh
 
Usikute ni Bashite anataka kutembelea vituo vilivyo mkoa wa Dar
 
Wiki moja kabla ya Max wa jamii media kukamatwa na wanausalama kwenda nyumbani na ofisini kwake kwa ukaguzi kuna mtu alikuja na uzi hapa kuomba kuelekezwa zilipo ofisi za jamii forums sasa na wewe tena duh

Hamna jaman wengne ni applicants so tunataka tukafanyr yetu huko
 
Back
Top Bottom