Watu maskini na waliopitia kwenye shida sana sio wakuwapa Uongozi

Mwanga Lutila

JF-Expert Member
Nov 10, 2016
4,138
13,824
Dr Myles Munroe aliwahisema Watu maskini sio wakuwapa uongozi wa juu wanatakiwa wawe chini ya na sio juu ya.

Nami nasema mtu aliyepitia kwenye umaskini na shida nyingi sio mzuri wakati mwingine anaweza asiamini kuwa wengine wana shida mpaka aone kweli mna shida kama alizopitia yeye.
 
Ni kweli kabisa naunga mukono mada
 
Huu ni ukweli kabisa japo sio wote. Unakuta mwingine anajitapa kabisa kwa ugumu wa maisha aliopitia kana kwamba ni jambo la sifa na anachukulia binadamu hakamiliki hadi apitie yale aliyopitia yeye. Baba yangu ilikuwa akitaka kutoa mfano au kusisitiza jambo basi anatoa mfano wa maisha magumu aliyopitia utotoni ila nilikuwa namjibu hiyo ilisababishwa na uzembe wa baba yako, mimi baba yangu sio mzembe. Hapo anatulia tu.
 
Kwa wenzetu sifa ya kiongozi lzm uwe tajiri ili kuepusha misuguano na pia unakuwa ushazoe maisha ya utajiri hivo huwi limbukeni wala ulewi madaraka. Masikini ni MTU asieaminika na anakuwa na chuki na matajiri.
 
Hebu fuatilia viongozi wako wengi wao ni wakuja na wamezaliwa vijijini huko ni wakulima wafugaji tu watanzania wenyewe ni masikini tu
 
Hao hata wakiwa malecturer vyuoni hua wanakua wana roho mbaya sana.
 
Dr Myles Munroe aliwahisema Watu maskini sio wakuwapa uongozi wa juu wanatakiwa wawe chini ya na sio juu ya.

Nami nasema mtu aliyepitia kwenye umaskini na shida nyingi sio mzuri wakati mwingine anaweza asiamini kuwa wengine wana shida mpaka aone kweli mna shida kama alizopitia yeye.
Ni ukweli usiopingika kabisa
 
Kapurwa mfagia nywele saluni leo kakabidhiwa jiji la Dar sasa anaamrisha vikosi vya jeshi kwenda na mitutu kwenye media house kulazimisha udaku wake upewe air time.
 
Dr Myles Munroe aliwahisema Watu maskini sio wakuwapa uongozi wa juu wanatakiwa wawe chini ya na sio juu ya.

Nami nasema mtu aliyepitia kwenye umaskini na shida nyingi sio mzuri wakati mwingine anaweza asiamini kuwa wengine wana shida mpaka aone kweli mna shida kama alizopitia yeye.
Kuna jamaaa Leo kasema jambo.ambalo limenifanya nijue kitu kuhusu masikini wajinga wakipa

Ametoa mfano kwamba mtu ambaye hajawaji kushika milioni kumi zake kabisa au kuziona kwa mwenzake au kuzishuhidia zikiwa sehem hivi ,ukimpa milioni mia moja anaweza kufikiri yeye ndio ameshika hela za dunia nzima sasa
Ona matumiziyake anwezaita marafikizake iliawalishe chakula hotelin na akawachukulia na vyumba na kuwaambia wabadirishe nguo hapo alizowanunulia kwasbb hajui hizo helabzinaisha ndio masikin tuliowapa uongozi ambao hawakuwahi kuuwaza kamwe wanaweza sema Mungu hayupo wajinga sana AAA a. aa
Dr Myles Munroe aliwahisema Watu maskini sio wakuwapa uongozi wa juu wanatakiwa wawe chini ya na sio juu ya.

Nami nasema mtu aliyepitia kwenye umaskini na shida nyingi sio mzuri wakati mwingine anaweza asiamini kuwa wengine wana shida mpaka aone kweli mna shida kama alizopitia yeye.
 
Kweli kabisa, mawazo ya kimasikini na roho ya kimasikini.....
Yani ukiwa Tajiri we ni adui yake
 
Ushamba wenu tuuh..! Nyerere alikuwa tajiri??? Mwinyi as alikuwa tajiri? Mzee madiba alikuwa tajiri??
 
Kwa wenzetu sifa ya kiongozi lzm uwe tajiri ili kuepusha misuguano na pia unakuwa ushazoe maisha ya utajiri hivo huwi limbukeni wala ulewi madaraka. Masikini ni MTU asieaminika na anakuwa na chuki na matajiri.
Well said. Kwa maana nyingine, atawagawia akili ya namna ya kutajirika!
 
Huu ni ukweli kabisa japo sio wote. Unakuta mwingine anajitapa kabisa kwa ugumu wa maisha aliopitia kana kwamba ni jambo la sifa na anachukulia binadamu hakamiliki hadi apitie yale aliyopitia yeye. Baba yangu ilikuwa akitaka kutoa mfano au kusisitiza jambo basi anatoa mfano wa maisha magumu aliyopitia utotoni ila nilikuwa namjibu hiyo ilisababishwa na uzembe wa baba yako, mimi baba yangu sio mzembe. Hapo anatulia tu.
Mkuu, haya yalisemwa kabla ya uchaguzi. Sasa sijui ni kwa chuki,waliokuwa na mawazo kama yako na ni wagombea waliitwa MAFISADI bila hata ushahidi au utafiti wa kutosha.
 
Kwa wenzetu sifa ya kiongozi lzm uwe tajiri ili kuepusha misuguano na pia unakuwa ushazoe maisha ya utajiri hivo huwi limbukeni wala ulewi madaraka. Masikini ni MTU asieaminika na anakuwa na chuki na matajiri.
Tajiri ni mtu wa aina gani? Obama alikuwa tajiri? Theresa May ni tajiri? Angela Merkel ni tajiri?

Donald Trump ni tajiri mbona analaumiwa sana kwa mambo yake anayofanya?

Unasema masikini ni mtu asieaminika anachukia matajiri, basi Watanzania wengi hawaaminiki na wanachukia masikini maanake % kubwa ni masikini na hao matajiri % kubwa wametokea kwenye umaskini.
 
Back
Top Bottom