ZE NDINDINDI
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 1,885
- 4,012
Huwezi amini wakati huo mawingu disco linatamba dsm an Arusha jamaa alikuwa anafanya kazi ya kufagia nywele za wateja kwenye salon mitaa ya nyamanoro na alikuwa analala humohumo
Wakati clouds fm inaanzishwa jamaa alikuwa anakaribia kuzungusha division ZERO pale pamba sec school evening class
Leo mjanja wa dar es salaam analalamika redioni kwamba jamaa hakuwalipa kwenye ile kampeni ya Dar es salaam mpya waliyokuwa wanamrusha live,KIPINDI KILE TULIULIZA KUHUSU GHARAMA MKATUAMBIA MNARUSHA BURE NA TUNAJUA IDEA ILIKUWA YENU WANA MAWINGU halafu mwana kolomije kawa swindle
hahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa