Mmmmm hapo mimi nimepita tu kumuwahi dogo shule maana nimesikia kafukuzwa kwa kuwa katuma yake imechanika na sox zake zinanuka kwa kuwa viatu vimetoboka anakanyaga maji ya mvuaNinacho mpenda Magufuri ni kwamba 3/4 ya wanaoumia zaidi ni wanaccm kwa vile walizoea aman na afya pale ccm inaposhika madaraka.Hii ikiendelea ccm itasambaratika yenyewe kwa sababu kwa sasa ndani ya hakuna kutoa maoni bali maoni hutoka kwa mwenyekiti tu.Pole yenu.