laprovidenza
JF-Expert Member
- Aug 10, 2013
- 330
- 172
Nawaza tu, ni kweli clouds media hawana vipindi vingine kwenye televisheni hadi kufanya marejeo ya kipindi cha mahojiano ya ruge? Zamani ililalamikiwa kuwa ITV wanampa sana airtime Reginald Mengi, je ndio haya yanajiri leo? Au je kurudia ni kuomba huruma umma kwamba wameonewa? Kiukweli ni dhahiri kilichotendeka sio cha kiungwana lakini kwa kinachoendelea sasa ni zaidi ya kufikisha ujumbe. Ujumbe umefika na wahusika wanaendelea na hatua(kamati imeundwa) zinaendelea. Why repeating this much? Ifike mahala clouds mkue na muwe na uvumilivu, ujumbe umefika...