Sijaona magazeti kwenye Muungwana Blog wala Millard Ayo tatizo nini?

bibinnaa

JF-Expert Member
Jan 17, 2017
1,500
1,377
Naomba munijuze....tokea majuzi sijaona magazeti kwenye Muungwana Blog wala Millard Ayo...kuna tatizo au ni kinaendelea....
 
Waliambiwa na wamiliki wasiweke mihuri yao kwenye magazeti na wasifiche matangazo yalio juu ya gazeti..... sabab hawalipii hayo magazeti
 
Back
Top Bottom