Natoa pongezi kwa TBA kufanyakazi ya kishujaa ya kujenga makazi ya wanafunzi wa chuo kikuu.
Mkuu wa kaya hivi ukiwapa TBA 100b wajenge magorofa 200 kwa ajili ya makazi ya watu, hizo apartment...
Wana jf naomba kuuliza baraza la mitihani tz necta litakapotangaza matokeo ya mwaka huu 2017 je bashite atakuwa mkuu wa mkoa wa darisalama?
Je baraza la mitihani tz wakitangaza division ziro za...
Katika kile kinachosemekana ni kuwatishia SHILAWADU warushe "Kipindi chake", ripoti ya uchunguzi wa Sakata Hilo ikasema kwamba Mh. Daudi Albert Bashite aliwatishia kwamba wasiporusha "kipindi...
Natumai hamjambo wanajamvi. Kitendo ninachofanyiwa na watu wa Tigo Pesa hakika sitakisahau maishani. Nilimtumia ndugu yangu fedha kumbe simu aliyokuwa anaitumia aliibiwa hivyo basi no yake haiko...
Mzazi wangu alikuwa na kesi ya madai alidhulumiwa akafuatilia kwenye kliniki yenu ya kinondoni mpaka akanyoosha mikono juu akanambia mwanangu bora tuuze hili shamba tukatafute mwanasheria alichoka...
Wakuu hivi kama bosi anakutuma au kukuchukua uende nae kwenda kufanya maovu unafanyaje?
Kwa sababu ukikataa, basi ndo hivo tena itakuhesabika ni utovu wa nidhamu na kibarua kinaweza kuota nyasi...
Mtandao wa madawa ya kulevya ni moja kati ya mitandao mikubwa na imara kupita mitandao ya biashara yeyote duniani hii yote ni kwasababu biashara hii inafanywa na watawala wa nchi mabara kwa mabara...
Ndugu zangu wana JF,
Leo ningependa watu to share vile vitu, vituko vilivyowahi kutukuta kutokana na kutoijua sehemu unayokwenda iliyopelekea kupotea au kupata shida.
Binafsi niliwahi kupotea...
Ukizaliwa na kuishi hapa Tanzania yetu utajifunza mengi sana kuhusu Binadamu na nafikiri hata tukishakufa Mungu hana kazi tena kwa maana kila kitu tumeshamaliza hapa hapa Duniani!
Unaweza...
Nimekikumbuka kinywaji flani cha Fruto, ilikuwa kinauzwa kwenye kopo la nusu lita hivi kisha una dilute na maji na unakunywa, ila kinaacha rangi mdomoni , kilikuwa popular sana kipindi cha miaka...
,,If you live in a glass house, don't throw stones, and if you can't take blows, brother don't throw blows..."
Dedicated to Clouds Media Group!
by Peter Tosh!
Chances never come twice au tragedy come in thrice. Hili tukio limekuja mnalaani na kulaumu na hata kuamua kuside na waliokuwa maadui wenu dhidi ya rafiki yenu. Rafiki wa kweli ni yule anayesimama...
Heshima kwenu Wawakilishi wa Muumba hapa duniani hasa pembe hii ya Africa!!! Baada ya kuwasalimu kwa unyenyekevu mkubwa napenda kuwauliza maswali kadhaa viongozi wangu kama ifuatavyo:
Hivi ni...
Urafiki ni upendo wa hali ya juu wa watu walioamua kupendana katika shida na raha bila kuwepo na mwingiliano wa uhusiano wa damu. Upendo wa watu unaohusiana na uwepo wa mahusiano ya damu tunaita...
Familia kumi zimekimbia nyumba zao katika kijiji cha Muganza wilayani Kasulu mkoani Kigoma baada ya baadhi ya wakazi wa kijiji hicho kujeruhi watu wawili kwa mapanaga na kufyeka zaidi ya ekari...
Nimepewa taarifa na wanasiasa fulani na baadhi ya wadau wa maendeleo kuhusu umri wangu wa kuzaliwa.
Kimsingi mimi nimezaliwa mwaka 1980 na hata vyeti vyangu vyote vya kliniki na ubatizo vina umri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.