mwanaone
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 637
- 760
Ndugu zangu muliopewa dhamana ya kuhakiki vyeti ktk ofisi za umma acheni kuwaonea ndugu zenu .
1: hili zoezi halina Maana mpaka mkuu atapotuonyesha vya makonda
2:mumeshuhudia wenyewe mkuu akiamua kumuachia Bashite licha ya ushahidi uliowazi kuwa anatumia vyeti fake
3