raisi2020
Member
- Mar 4, 2016
- 82
- 83
Limekuwa taifa la watu kupiga kelele kila kukicha, likiisha ili linaingia lingine hamana siku au kipindi nchi ikose swala, mana halijaisha ili litazushwa lingine na mengine yanazushwa pasi na ushaidi wa kutosha mtu akikaa akazusha kitu basi jamii imekuwa nyepesi kupokea maswala ambayo hata hayana ushaidi wa kutosha:
1) Hivi hatuna waandishi wa habari ambao ni wapelelezi, wakapeleleza kitu kwa undani na wakatoa vitu vinavyoonekana na si ushaidi wa kina mange, ushaidi zilizo shallow in deep water.
2) Hivi hatuna raia wanaojielewa ambao wanaweza fuatilia kitu kwa undani na kutoa kwa ushaidi wa kutosha na bila woga ambao wapo tayari hata kufa ila kwa kuweka mambo hadharani na si kama Gwajima anaongea bila shaidi ambao ni ya kweli ila ni kuropoka tu.