collinswilliam63
Member
- Oct 12, 2014
- 78
- 48
Usafirishaji wa mchanga wa dhahabu unatokana na mikataba mibovu ambayo nchi zetu za kiafrika ziliingia na makampuni ya madini. Usafirishaji huu uleta madhara mbalimbali kwa uchumi wa nchi ikiwemo kupunguza pato la nchi na pia ajira kwa wananchi. Kuna hatua za kufanya au kufuatwa ili kulazimisha Migodi (Mining industries) kuacha kusafirisha michanga ya dhahabu au unbeneficiated ores.
Hatua ya kwanza ni kuintroduce exportation levy ambayo itaongeza gharama za uendeshaji kwa migodi. Indonesia ilitumia njia hii ambapo mwaka 2012 waliweka exportation levy ya 25% na Ilipofika mwaka 2013 waliamua kuongeza exportation levy mpaka 50% ili kuwabana China ambao walikua na uwezo wa kulipa 25% ya mwanzoni.
Hatua ya pili ni kuzuia usafirishaji wa mchanga na hii hutokea baada ya hatua ya kwanza kushindikana. Inashindikana mana kuna hatua itafika migodi itashindwa kuendana na ongezeko la exportation levy kama ilivotokea kwa Indonesia. Ilipofika asilimia 50 ya exportation levy, China ilishindwa tena kulipia hiyo hela na iliwalazimu kukaa meza moja na Serikali ya Indonesia kuhusu Installation ya smelters na kuwafundisha wananchi kuhusu beneficiation ya Iron ore na sasa hivi Indonesia imepunguza tatizo la ajira kupitia beneficiation ya Iron ore na pia imeongeza mapato ya nchi.
Naomba nikiri kua nchi yetu ilikosea kwa kutofuata hizi hatua (Nakubali kukosolewa).
Eng. Collins