Gari gani nzuri Dar-Mbeya

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Jan 1, 2017
22,788
50,965
Mimi ni mgeni huko nipeni maelekezo gari nzuri za kutoka Dar kwenda Mbeya sehemu nzuri za kufikia mbeya mjini ambao malazi ni rahisi na usalama mzuri, nataka nikatembee Green city Pasaka hii, na sehemu gani nzuri za kutembelea?
 
New force, Dar Lux na Ndenjela ndio mabasi mazuri ila Ndenjela ina mwendo wa taratibu
 
Misuse of social media...kweli kwa issue kama hiyo unakuja kuuliza huku JF!!!!!???

There was a time you didn't know all that you know right now. Nobody used such harsh tones towards you I presume, safely.

Amefanya vyema kuuliza. Why?

1) JF is international. Whether within TZ or outside the borders, anayepanga safari ambaye hajui atapata kujua kwa kupitia Uzi huu. Hujaona Wachina, Wazungu nk wakitumia Google Translate kupata taarifa toka forums?

2) Freedom of speech. Self explanatory!
 
Ndg yangu kwa sababu hiyo ni planned trip ningekushauri fanya booking ya fast jet leo, gharama zake hazizidi 150,000/= kwenda na kurudi, one hour umetua Songwe. safe, cheap, accessible and comfortable..........
 
Unasafiri lini,karibu mbeya..nicheki pasaka hii nitakuwa green city,na usafiri ni Dar lux na new force,colors star
 
Back
Top Bottom