Mnastar jr
Member
- Dec 29, 2016
- 99
- 53
Taarifa iliyopo ni kwamba Mageleta(Mosi) aliuawa jana na watu kabila la wamasai kwenye ugomvi unaosadikika ni wa muda mrefu sana wa shamba huko kiteto mkoani Manyara.
Taarifa za awali zilieleza kuwa marehemu alikuwa akipalilia shambani na mwenzake ndipo wakavamiwa na wamasai hao.
Wakati marehemu anapambana nao mwenzake alikimbia kijijini kutoa taarifa na waliporudi walikuta tayari marehemu ameshauawa na kufichwa machakani na wauaji kutokomea.Inauma sana ndugu zangu.
Je, haya mauji yataisha lini hizi migogoro zitaisha lini Tanzania ya amani tumefikia hatua hii?