TauHeeeD
Senior Member
- Feb 15, 2013
- 191
- 134
Hawa watoto wanaonekana wana lumbana jambo na mmoja wao akiwemo mzungu ambaye ndo victim kwa kupigwa na tofali, aliye mpiga tofauli anaonekana hajawa na huruma ata kidogo, hajatisha bali kapeleka na tofali kumpata mzungu kichwani jambo ambalo limewafanya wazungu ku coment kwa jazba na kutuona waaafrica ni wakatili mbayaaaa!! Mi binafsi sijapenda alichofanyiwa uyo mzungu ila nimebaki kushangaa wanavyo tetea haki kanakwamba babu zetu walichowafanyiwa na missionaries kilikuwa ni sawa vile... wao wana rooo kumbe