Baadhi ya vituo vya redio/Tv nyumba za ibada chochezi zifutwe

T2015CCM

JF-Expert Member
Sep 13, 2012
7,931
987
Hili ni wazo huru zile radio, magazeti, vituo vya television ambavyo havina dira wala mwelekeo ambavyo kazi yake ni umbea umbea futaaaaa piga marufuku.

Pia nyumba za ibada ambazo zimegeuka wapiga kampeni wa kisiasa na kushabikia maovu futa piga marufuku.

Hatuwezi kugeuka kuwa taifa la kulialia wakati power tunayo. Haiwezekani mtu mmoja awe na meno kushinda serikali.

Pia baadhi ya mitandao ya kijamii isiyo na dira wala mwelekeo ondoa.

Futilia mbali. Piga marufuku.
 
huo utakuwa ni udikiteta kuliko wa idd amini dada
 
Badilisha jina na profile kwanza lasivyo unaonekana punguani, ni sawa na panya kumwambia mwenye nyumba awazuie paka wasiingie, non sense
 
Ukweli Ni Kwamba CCM haiwezi Kushinda Mbele Ya Wasomi Ukiona Jimbo/Kata Yako Inaongozwa Na CCM Ujue Unaishi Kwenye Jamii Yenye Wajinga Wengi
 
Hili ni wazo huru zile radio, magazeti, vituo vya television ambavyo havina dira wala mwelekeo ambavyo kazi yake ni umbea umbea futaaaaa piga marufuku.

Pia nyumba za ibada ambazo zimegeuka wapiga kampeni wa kisiasa na kushabikia maovu futa piga marufuku.

Hatuwezi kugeuka kuwa taifa la kulialia wakati power tunayo. Haiwezekani mtu mmoja awe na meno kushinda serikali.

Pia baadhi ya mitandao ya kijamii isiyo na dira wala mwelekeo ondoa.

Futilia mbali. Piga marufuku.
Sikushangai, ni halali yako kuandika hivyo.
 
yaani kwenu uchochezi mnauona mnapokosolewa tu?
mmposifiwa mnaona sawa tu?
 
Hili ni wazo huru zile radio, magazeti, vituo vya television ambavyo havina dira wala mwelekeo ambavyo kazi yake ni umbea umbea futaaaaa piga marufuku.

Pia nyumba za ibada ambazo zimegeuka wapiga kampeni wa kisiasa na kushabikia maovu futa piga marufuku.

Hatuwezi kugeuka kuwa taifa la kulialia wakati power tunayo. Haiwezekani mtu mmoja awe na meno kushinda serikali.

Pia baadhi ya mitandao ya kijamii isiyo na dira wala mwelekeo ondoa.

Futilia mbali. Piga marufuku.
hahahah sikusoma jina lako
 
Back
Top Bottom