Mashujaa Wapya Wazaliwa ndani ya CCM.

mandella

JF-Expert Member
Oct 29, 2011
3,048
3,231
Mpaka sasa Nimepata moyo mkubwa sana na baadhi ya Viongozi na Wanachama wa CCM kua mstarii wa Mbele kusimamia Ukweli bila Kujali Itikadi wala vitisho kutoka kwa Viongozi wakuu wa Chama chao.
Mpaka sasa wapo waliojiuzulu nyadhfa zao , kuonyesha kutokuunga Mkono baadhi ya Mwenendo wa Mambo katika Taifa letu.
Hii inaonyesha Nuru katika Kuipigania Demokrasia katika nchi yetu.

Hatutachoka kuwapongeza na kuwa pamoja nanyi hata Pale mtakapotengwa na Viongozi wenu.Tunajua mnachokisimami , kwa lolote like tambueni watazania Wapo Nyuma yenu.

Tunahitaji Kina Lema na Lissu wengi sana Kutusemea na kua mstari wa Mbele kusimamia mwenendo wa Demokrasi katika Taifa letu katika kipindi hichi na hili lisiwe Kutoka Vyama Pinzani tu , Bali hata kwenye chama Tawala.

Kwa uchache wa Baadhi Yenu niseme tu...
Hongera sana , Ndugu.Bashe(Mb) pamoja na Waziri wa Michezo Ndg.Nape (Mb).
Matendo yenu ni ya Kishujaa , esecially pale mnapojaribu kufanya mambo magumu kwnye anga lililojaa Giza na Uwoga wa hali ya juu katika utetezi wa kile tunachokiita Demokrasia.

Kwetu Nyie ni Vinara ,baadae mtaonganisgwa Kwnye Jopo la Mashujaa waliosimamaia Misingi ya Democrasia katika Taifa letu.

Na Matendo yatabaki katika Historia na njia za kuigwa na vijana wengi katika Taifa letu.
Msirudi nyuma.

Ukweli Mbele Uwoga Mwiko.
 
Ww ccm ucye hangaika c ndo kina bashite nyie ? Ulimuelewa Sugu ? Mbona mnapenda urahic wa maisha kwa njia za mkato ?/haramu ? Namba zote hamjui kuzisoma,mnaziogopa hats kuzisoma,mnapenda namba sifuri tu,(0) ! Jiongezeni nyie ni vijana
 
Chadema Mbona mnahangaika sana

Unatatizo gani na CHADEMA wewe? Achana na CHADEMA utapunguza siku za kuishi kwa sababu wale si saizi yako. Unatafuta shinikizo la damu wewe. Inakuwaje kila ukisikia mlango unagongwa unaweweseka "CHADEMA HAO WANAINGIA"?

Kila mtu anayekosoa kwako ni CHADEMA. CHADEMA ndiyo wenye macho na uwezo wa kuelewa uovu peke yao? Wanaopinga ccm ndani ya ccm nao ni CHADEMA?

Hakuna kitu kilichohuru na mabadiliko isipokuwa neno 'MABADILIKO" NA "mabadiliko' yenyewe.

Tanzania ni ya Watanzania na si mali ya ccm. Unafahamu hilo? Weka moyo wako na akili zavo vizuri kwa sababu, hutaamini kinachofuata!.
 
Back
Top Bottom