Mgibeon JF-Expert Member Aug 7, 2011 11,300 21,476 Mar 22, 2017 #1 Kesho Askofu atakuja Efm asubuhi ili kutoa pole kwa wanahabari kwa kuvamiwa na kikosi cha Askari kikiongozwa na mkuu wa mkoa wa Dar.
Kesho Askofu atakuja Efm asubuhi ili kutoa pole kwa wanahabari kwa kuvamiwa na kikosi cha Askari kikiongozwa na mkuu wa mkoa wa Dar.
malkiamrembo JF-Expert Member Mar 29, 2015 386 231 Mar 22, 2017 #3 Asante kwa Taarifa kesho macho EFM
KING 360 JF-Expert Member Jun 30, 2016 3,002 5,192 Mar 22, 2017 #5 Sasa pole wanapewaje efm wakati waliovamiwa ni cloud au inakuwaje api
Mgibeon JF-Expert Member Aug 7, 2011 11,300 21,476 Mar 22, 2017 Thread starter #6 DEOD 360 said: Sasa pole wanapewaje efm wakati waliovamiwa ni cloud au inakuwaje api Click to expand... EFM ni medical department?
DEOD 360 said: Sasa pole wanapewaje efm wakati waliovamiwa ni cloud au inakuwaje api Click to expand... EFM ni medical department?
MKWEPA KODI JF-Expert Member Nov 28, 2015 28,701 71,051 Mar 22, 2017 #7 Mkoromije apigweeee, apigweeeeee, aisee watamuua mkoromije, naona hata ofisi haikaliki kwa sasa
Phoenix JF-Expert Member Sep 6, 2012 10,585 15,467 Mar 22, 2017 #8 Anasulubiwa kiakili;babake atakonda.
mizambwa JF-Expert Member Oct 8, 2008 4,422 1,791 Mar 22, 2017 #11 Saint Ivuga said: Radio UHURU lini? Click to expand... Pale Lumumba watamfukuza
Slim5 JF-Expert Member Jan 7, 2014 28,203 37,897 Mar 22, 2017 #12 Saint Ivuga said: Radio UHURU lini? Click to expand... Hawamtaki!
Governor of Bettors-GB JF-Expert Member Jul 14, 2013 10,568 9,710 Mar 22, 2017 #13 Anacheza na Akili za Wanaume wa DAR Wenye akili wanatafuta maisha,sio kukaa kusikiliza ujinga mtupu
Rohombaya JF-Expert Member Jul 4, 2011 13,066 10,392 Mar 22, 2017 #14 Dah...akili za ngada hizi...huku wanasema hawata andika habari zake....kule wanaendelea na mapambio
Askari Muoga JF-Expert Member Oct 22, 2015 6,113 4,658 Mar 22, 2017 #16 akitoka aende Uhuru FM na TBC Gwajima anapenda kiki kama harmorapa
sonaderm JF-Expert Member Nov 9, 2015 618 1,816 Mar 22, 2017 #17 Tufanye na mengine jamani, hizi habari zimeshaanza kunikinai
Mwasita Moja JF-Expert Member Dec 31, 2015 2,903 2,580 Mar 22, 2017 #18 Sasa hivi hawaruhusiwi kuandika chochote kuhusu Makonda kwa hiyo hata akiwanyoosha wataugulia maumivu kimya kimya. Makonda wanyoooooshe vizuri sasa
Sasa hivi hawaruhusiwi kuandika chochote kuhusu Makonda kwa hiyo hata akiwanyoosha wataugulia maumivu kimya kimya. Makonda wanyoooooshe vizuri sasa
C ctc database JF-Expert Member Jul 6, 2016 201 148 Mar 22, 2017 #19 Hana kazi ya kufanya huyo mwacheni anatafuta mistari ya kuhubiri kanisani. Maana naona ajenda yake muda c mrefu itakuwa expired
Hana kazi ya kufanya huyo mwacheni anatafuta mistari ya kuhubiri kanisani. Maana naona ajenda yake muda c mrefu itakuwa expired
C ctc database JF-Expert Member Jul 6, 2016 201 148 Mar 22, 2017 #20 sonaderm said: Tufanye na mengine jamani, hizi habari zimeshaanza kunikinai Click to expand... Hunishindi mm ndugu yangu
sonaderm said: Tufanye na mengine jamani, hizi habari zimeshaanza kunikinai Click to expand... Hunishindi mm ndugu yangu