Vipi mshahara wa March tayari?

Mbingo

JF-Expert Member
Mar 20, 2014
411
230
Je huyu Magufuli ameshatukumbuka maana kazini ameongeza Masaa ya kuchapa kazi katukumbuka?
 
  • Thanks
Reactions: SDG
serikali yangu kwa sasa haina pesa. labda msubiri hadi tarehe 10april nitawawekea nusu. kwani kwa sasa watu hawatoi kodi na me nategemea kodi kwahiyo kwa sasa sina hela... we piga kazi
 
Kameshatoka kamshahara.
Najenga picha ndo ningekuwa naishi kwa mshahara tu sijui ingekuwaje. Kitendo alichokifanya mr.Mchochezi cha kutunyima ongezeko huku akiendelea kujiona ndiye mnyoosha nchi kinadhihirisha wazi kuwa mr.Mchochezi ni mtu mwenye ufahamu mdogo, angekuwa na ufahamu mkubwa angejua mchango wa watumishi katika kujenga taifa bora.
 
Back
Top Bottom