Atclkwanza
JF-Expert Member
- Dec 20, 2015
- 823
- 998
Leo asubuhi Kibonde amesikika akimkashifu Askofu Gwajima Kwamba anatumia Ganja,mimi navyoona amekifanya chombo chenu hakina maadili kwa sababu yeye mwajiriwa wa Clouds media,
Kama angetaka kuweka uwanja sawa angetoa maada kwa wananchi inayohusu kutumia vyeti ambavyo siyo vyako ni kosa au la,Wananchi ndiyo wajadili sasa mwendesha kipindi mwenyewe anapoanza kukashifu inamaanisha nini?
Clouds media huyo Kibonde unawaharibia,Siamini kabisa Kama Gwajima akiamua kufungua kesi atamfungulia Kibonde peke yake,ataifungulia Clouds media kwa sababu Kibonde ni mwajiriwa wa Clouds.
Kwa ushauri tu ingekuwa bora Kibonde angemwalika Makonda kwenye hicho kipindi ndiyo atoe majibu,hata kama atamkashifu Gwajima hawezi kuwagusa Clouds kwa sababu siyo mwajiriwa wa hapo,
Mnakumbuka yule Dada aliyeleta Mashoga kwenye kipindi chake nani alilipa faini na kuambiwa muombe radhi, Kwa nini asiyambiwe yule dada. Bro Ruge hili suala liangalie kwa jicho la pili, naishia hapa Najua Gwajima hizi tarifa anazo ila mungu ampe hekima na busara Kuhusu suala hili la Kibonde.