lushalila
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 282
- 109
Ndugu wana JF,
Hivi karibuni mfuko wa hifadhi ya jamii wa PPF, umesitisha lile fao la kujitoa kwa mwanachama baada ya kuwa hana ajira.
Fao hili lidaiwa kuwa msaada na mkombozi kwa wanachama kwa muda ajira inapoisha au hata kwa hiari.
Sasa hawa wanaouondoa wanaiondoa kwa maslahi ya nani na kama kweli itaondolewa wanachama wafanyeje kupata haki yao?