Small Axe
JF-Expert Member
- Dec 17, 2016
- 652
- 464
Tumekua tukia aminishwa na baadhi ya rafiki zetu kua endapo utajiunga na forever living basi maisha yako yatabadilika.
Utakuwa tajiri kwa mda mchache.vijana wengi wakakopa na kuanza fanya biashara hii.
Wengine wakadiliki kusema achana na kulima uta zeeka bila kua tajiri.
Lkn siku zinapita sisi wakulima ndio tuna kua na heshima zaidi mtaani mvua iki zingua kidogo.
Hawa jamaa wanajazana kwangu kuomba japo hata debe la mahindi, mpunga
Vijana twendeni shambani achaneni na akili mgandoo eti eeh uza bidhaa ingiza membdrs utakua unapewa mshahara mbona hata watu wangeacha kazi za serikali kama inalipa.
Bidhaa zenyewe hazina hata uhalisia wa maisha ya serkali ya tano..unauza dawa ya mswaki kwa elf 30 kweli mafuta nduo usiseme wakati colgate white dent..jino safi kwa elf 1500 tuu hata jero utapata.
Tuna ngamia kwa kukosa maarifa. Waache wajinga sisi tukalime na Mungu katusijia mvua hiyoo.