TANESCO kwanini mnatulaza giza?

SELFISH

Senior Member
Feb 25, 2014
133
59
Mlitoa taarifa kwamba mtambo wa Luku unafanyiwa maboresho, kuanzia jpili usiku mpaka j3 saa tatu asubuhi,
Lakini chakushangaza mpaka leo tar 22 juma tano bado luku haipatikani!
tunaomba mtoe taarifa ambazo niza kweli. mpaka jana mtaani kwetu nyumba nyingi zilikua giza! hamuoni mtatuongezea uhalifu mtaani?
bf247e52fe6a2b991a29d10b440470f6.jpg
 
Mkuu jana wamenitesa ila mida ya saa sita usiku nikafanikiwa... Pole mkuu
 
Ilisumbua ila ukienda kwenye vituo vikubwa huduma ipo tatizo lipo kwa wanaotumia tigo pesa mpesa nk
 
Ulitumia mtandao gani kiongozi?
Mkuu ilikuwa voda ila kila nikituma wakawa wanarudisha pesa nikajaribh mara kibao baadae pesa haijarudi wala sms ya luku haikuja, ilikuwa mda wa saa moja Jioni... Ila saa sita nikapokea luku.. Its very embarrassing
 
Mi kesho naenda kuwashitaki mahakamani. wajinga kabisa hawa watu. watskuwa mawakala wa shetani hawa!
 
Back
Top Bottom