Uchunguzi wa kesi ukifanyika ukamalizika ripoti inaenda mahakamani au kwa mkuu wa nchi?

Inaenda kwa yule aliyeagiza na kuunda tume ya uchunguzi, haya swali lingine tafadhali
 
Inategemea ni kuhusu nini.kwa upande wa konda limeenda kwa aliyeituma hiyo tume. Na yeye anaipeleka kwa mkubwa wake ingawaje uchunguzi huo huo unaweza kutumika sehemu tofauti zaidi. Mfano jeshi la polisi linauwezo wa kuutumia, mahakama, wizara ya kazi n. K
 
Ivi uchunguzi wa kesi ukifanyika ukamalizika ripoti inaenda mahakamani au kwa mkuu wa nchi?
Uchunguzi haukufanywa na polisi kwa maana ya kutafuta jinai na wala haukuagizwa na mahakama. Anayeagiza uchunguzi ndiye hupewa ripoti ya uchungunzi
 
Inategemea ni kuhusu nini.kwa upande wa konda limeenda kwa aliyeituma hiyo tume. Na yeye anaipeleka kwa mkubwa wake ingawaje uchunguzi huo huo unaweza kutumika sehemu tofauti zaidi. Mfano jeshi la polisi linauwezo wa kuutumia, mahakama, wizara ya kazi n. K
Hapo nimekuelewa mkuu
 
Back
Top Bottom