chiefnyumbanitu
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 906
- 426
Poleni na majukumu wana JF,
Kila kukicha sikosi kuona uzi wa member kuzungumzia vyeti vya PAUL MAKONDA mpaka hufikia kuchoshwa na swala hili la nyeti.
Sasa nimewaza kwanini tusiache kwanza mambo ya vyeti tukajikita kwa maswala yale ya madawa maana naona kama mmemkatisha tamaa ya hatua nyingine ya kuwataja wale ambao alisema akimtaja mtu habahatishi.
Yawezekana waliyotajwa wanapiga madongo kwa kujihami?
Ni wazo tu karibuni tujadili hili.
Asanteni.