South
JF-Expert Member
- Jan 11, 2016
- 3,514
- 5,139
Baada ya kuona mtuhumiwa kalindwa na mkulu pamoja na uongozi wa Clouds media kuthibitsha kuvamiwa na mkuu wa mkoa ikiwa ni pamoja na ushahidi wa video kusambaa bado mkulu kaona ni habari za udaku na umbea ambao watanzania wameamua kuusambaza ktk mitandao ya kijamii. Clouds mjiandae kuvamiwa mara kwa mara na serikari kwasababu mmemgusa mwana mfalme hivyo mmetangaza vita na mfalme. Ukweli hautakiwi katika hii nchi na ukiwa kinyume na serikari hii ukae tayari kuandamwa, poleni sana na hongera kwa ujasiri mlioonesha nawatakia mapambano mema.
South
South