Tujikumbushe ahadi za waheshimiwa kipindi cha kampeni

sir mweli

JF-Expert Member
Feb 8, 2017
495
573
Najaribu kukumbuka ahadi za wakuu wetu kipindi kile cha kampeni.. Zilikuwa tamu sana tujikumbushe kidogo.

Babu nywele nyeupe alituahidi vingi, ngoja nimuulize kama bado anazikumbuka au ndo kashatupa jongoo :-
Mzeee,
Vip kuboresha makazi hasa ya watu wa vijijini
Vipi ahadi za kumsitiri mama anaejifungua hospitalini ??
Vip elimu bure paka chuo kikou ?
Vip wakulima na mema walioahidiwa ?
Vip wamachinga na bodaboda ?
Vip mama ntilie ?
Vip nafasi za jeshi kwa vijana ?
Vip michezo aliahidi ?
Vip kuondoa folen hasa kwa dar
Vip wanafunzi mikopo ?
Hizi ni za mzee,zote zipo pending coz hakupata.

Tuje kwa mzee mzima sasa
Nakumbushia chache
Vipi viwanda ukanda huu wote (kataja toka wapi hadi wapi) -inactive
Vip milioni hamsini kila kijiji -inactive
Kuburuza mafisadi kwenye mahakama yao -inactive
Elimu bure hadi secondari -active
Kusimamia haki na usawa kwa wote -inactive
Barabara za lami -???
Kupunguza bei vifaa vya ujenzi -inactive
Kuinua kilimo -???
Kusaidia wajasiria mali wadogowadogo -inactive
Kuimarisha utawala bora -inactive
Kuongeza ajira hasa kwa wanomaliza vyuo -INACTIVE
Kuondoa utitiri wa kodi -inactive

Duuh ni nyingi, ila tuangalie hizi chache.. Nyingi zinaangukia inactive.
Kazi ipo.
Tukutane 2020

Note :
Active -its already start or running
Inactive -not start and no sign of starting
Pending -Not start due to reason eg candidate not selected, if selected may be can start.
??? -not sure already start or not
 
Halafu 2020 mtu alete pua yake, eti naomba mnitume nikawatatulie matatizo yenu.Weeeeee thubutu atatolewa nduki mpaka atasahau jina lake.
 
Ukianza kazi kwa kumshambulia mtangulizi wako lazima utafeli tu..ndo kilichomkuta mkulu..[HASHTAG]#mamandalichakombonakimya[/HASHTAG]
 
Sio hao tuuh hata madiwani huku mtaani wanafanya madudu, mfano mimi mtaani kwangu diwani wetu ni huyu mtoto wa Mama Mchungaji Rwakatare lakini anafanya madudu tu barabara mbovu hata kusema atupiganie wananchi apitishe greda ila yeye hajui hilo watu tunaingia gharama za vipuli vya magari bure yeye anajua kucheza dili za kutapeli viwanja vya watu tuuh Pumbavu kabisa ndio maana kura yangu hakuipata.
 
Back
Top Bottom