Linamo
JF-Expert Member
- Jan 12, 2011
- 9,976
- 24,495
Magazeti yote yameandika kilichomtokea Nape. Ajabu magazeti mawili ya serikali Habari Leo na Uhuru hawajaandika.Front page wameweka habari ya Makontena isiyo na mashiko.
Hawa sijui hata Kama wanauza copy 1000 per day.
Ndio maana wanalia njaa maana hawajui wanataka nini wanafata mkumbo tu.
Hawa sijui hata Kama wanauza copy 1000 per day.
Ndio maana wanalia njaa maana hawajui wanataka nini wanafata mkumbo tu.