Anuani ya rais: Nahitaji nimtumie rais barua

GIPAMA

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2016
Posts
1,103
Reaction score
543
Ndugu wanajamvi, nina dukuduku langu moyoni, nahitaji nimtumie rais barua kwa kuandika na kumuelezea shida yangu.
Je ni njia gani rahisi naweza kuitumia ili rais apate barua yangu? Naombeni ushauri haraka haraka nataka niitune kesho tu.

Kama ni kwa fax, email, ama EMS ni anuani zipi ambapo barua itampata moja kwa moja, kama si yeye basi awe mtu wake wa karibu huko Ikulu?
Naombeni msaada tafadhali.
 
Kama hutaki kuweka hapa Mpelekee mbunge wako ataufikisha ndie mwakilishi wako ukiona vipi mpelekee diwani wako mwambie ampelekee mbunge apeleke au asubuhi nenda ofisi ya mkuu wa wilaya kamkabidhi huo ushauri wAko wataungalia kama wakiona wa muhimu wataupeleka kwa raisi.Kwani unahusu mini hasa kwa ufupi tukusaidie kukuelekeza
 
Kwa ufupi hakuna mawasiliano yanayoweza mfikia raise moja kwa moja bila kupitia kwa wasaidizi wake ni vizuri uweke hapa unataka mini uelezwe wapi upeleke update ufumbuzi.Hata ukipeleka ikulu swala lako kama ni LA ardhi litapelekwa wizara ya ardhi kwa watendaji hivyo jiweke wazi
 
Ndugu wanajamvi, nina dukuduku langu moyoni, nahitaji nimtumie rais barua kwa kuandika na kumuelezea shida yangu.
Je ni njia gani rahisi naweza kuitumia ili rais apate barua yangu? Naombeni ushauri haraka haraka nataka niitune kesho tu.

Kama ni kwa fax, email, ama EMS ni anuani zipi ambapo barua itampata moja kwa moja, kama si yeye basi awe mtu wake wa karibu huko Ikulu?
Naombeni msaada tafadhali.
Nenda kwenye website ya Ikulu chukua sanduku la posta kisha andika barua utume.
Ingawa ni lazima ichekiwe Lakini lazima ifike. Posta ndio njia salama zaidi na ukiweza tumia EMS
 
Kama hutaki kuweka hapa Mpelekee mbunge wako ataufikisha ndie mwakilishi wako ukiona vipi mpelekee diwani wako mwambie ampelekee mbunge apeleke au asubuhi nenda ofisi ya mkuu wa wilaya kamkabidhi huo ushauri wAko wataungalia kama wakiona wa muhimu wataupeleka kwa raisi.Kwani unahusu mini hasa kwa ufupi tukusaidie kukuelekeza
Sio ushauli, ni ombi....... Akafu nataka umfikie kwa haraka, ijumaa awe ameupata.
 
Mawasiliano ya Rais Ikulu yapo wazi sana wala siyo kificho na ukituma barua wanakujibu siyo utani.
 
Nenda kwenye website ya Ikulu chukua sanduku la posta kisha andika barua utume.
Ingawa ni lazima ichekiwe Lakini lazima ifike. Posta ndio njia salama zaidi na ukiweza tumia EMS
Ichekiwe na kina nan mkuu
 
Kama hutaki kuweka hapa Mpelekee mbunge wako ataufikisha ndie mwakilishi wako ukiona vipi mpelekee diwani wako mwambie ampelekee mbunge apeleke au asubuhi nenda ofisi ya mkuu wa wilaya kamkabidhi huo ushauri wAko wataungalia kama wakiona wa muhimu wataupeleka kwa raisi.Kwani unahusu mini hasa kwa ufupi tukusaidie kukuelekeza
Kwa ufupi nahtaji kuandika barua nmuombe ajira, mimi ni mwalimu wa arts, History na kiswahili. Nina sababu za msingi za kuweza kumuandikia na kumuomba nikiangalia background yangu mpaka hapa nilipo. Je, ataweza kunickiliza ama kunihurumia!? Yaan aniajiri hata kama ni primary school.
Nifanyeje wakubwa!!
 
Tuma maombi Wizara ya elimu.
 
Ichekiwe na kina nan mkuu
Uraisi ni taasisi bwana wewe tuma barua kama una uhakika Jambo uliloandika ni la msingi na linamantiki. Kwani hujawahi sikia Kiongozi Fulani aliwahi wekewa bomu kwenye Bahasha, kuna mambo hayahitaji shule au kuona ndio ufahamu.
 
Kwa ufupi nahtaji kuandika barua nmuombe ajira, mimi ni mwalimu wa arts, History na kiswahili. Nina sababu za msingi za kuweza kumuandikia na kumuomba nikiangalia background yangu mpaka hapa nilipo. Je, ataweza kunickiliza ama kunihurumia!? Yaan aniajiri hata kama ni primary school.
Nifanyeje wakubwa!!
Naomba nikushauri Jambo, katika maamuzi unapomtafuta mtoa maamuzi faragha anaweza kuamua emotionally that rationally. Wewe mwandikie kama unadhani ni muhimu na wala usiandike hapa maana ni lazima u expose utambulisho wako, mueleze Kwanini unadhani akusaidie wewe Tofauti na utaratibu wa kawaida, onyesha Tofauti.
 
Nataka barua aisome mwenyewe, nifanyeje. Njia ya kawaida haitamfikia, wataizima, nitumie mbinu gani anisaidie! kupitia barua hiyo
 
Njia rahisi mtafute mtuhumiwa Bashite kabla jua halijazama atakua ameshaipata
 
Mambo ya usalama sio rahisi yeye kuifungua mwenyewe je kama umetia sumu ndani yake
 
Back
Top Bottom