Qunax Senior Member Joined Oct 16, 2016 Posts 100 Reaction score 127 Mar 25, 2017 #1 Nape kamuombe LOWASSA msamaha faster maisha mengine yaendelee. Mzee wa watu ana hekima sana atakusikiliza. Ili laana yake isiendelee kukutafuna.
Nape kamuombe LOWASSA msamaha faster maisha mengine yaendelee. Mzee wa watu ana hekima sana atakusikiliza. Ili laana yake isiendelee kukutafuna.
MKWEPA KODI JF-Expert Member Joined Nov 28, 2015 Posts 28,700 Reaction score 71,128 Mar 25, 2017 #2 Atakuwa aliishaomba msamaha, hata kama hajaomba msamaha mzee Lowassa sio mtu wa visasi kama sizonje