master09
JF-Expert Member
- Aug 12, 2013
- 813
- 561
Ilikuwa tarehe 22 march 2017 mishale ya saa 9:30 usiku eneo la mbezi beach mitaa ya kwa zena .........
Nilikwenda kwa zena(mbezi beach) kwa nia ya ku scan documents zangu (vyeti) pale kuna internet cafe moja hivi ipo opp. na sehemu ya chakula maarufu kwa john......Nilichelewa kwani saa tatu kulikuwa kumefungwa basi nikaona niende kula kidogo hapo kwa john of course nilikuwa na gari nikapaki hapo nakuzama ndani baada ya kula na kulipa narudi kwenye gari kioo kimevunjwa na bag la vyeti halipo .....nilichanganyikiwa na kuhamanika vilivyo na kuanza kuulizia vipi gari livunjwe kioo na kuibiwa na magari mengine pia yapo au ulinzi hamna majibu hayakuwa ya maana ....basi nikaondoka kwenda kawe kulipoti na kupewa RB pia nikatakiwa kulipoti kesho yake ambayo ni Jana.....
Blackmailed:
Jana tarehe 23 march 2017 kabla ya kwenda polisi kulipoti nilipigiwa simu na jamaa kujitambulisha kama Mathew na kusema yeye ndo kaiba begi Langu na namba kapata kwenye bag Langu hilo na nikweli niliweka ile form ya line yeye namba ....jamaa akataja vitu vyote kadi ya bank,passport,vyeti 4 and 6 ,na vya chuo......yaani vyote vilivyo kwenye bag.....akasema ili nivipate nitumie laki 500000 hapo atarudisha bag.....basi nikamshawishi kama sina niliyo nayo ni 50000 baada ya kuongea sana akaubali ......
Baadae nikampigia nijinsi gani nitapata hizo OG certificate zangu baada ya Kutuma hiyo Pesa .......
Alinijibu niamini tuu atatuma Bodaboda ileta nilipo basi baada ya kuomba ushauri kwa watu tofauti tofauti ingawa wengi walisema nitazidi kupigwa Pesa na kupoteza muda ...basi nikakata shauri pouwa tuu elfu 50 cyo issue ....jioni hyo nikatuma na akanipigia kapata hyo Pesa akatuma msg na kusema nitakupigia na kuzima simu ......
Leo tar 24'03'2017 saa nane mchana akanicheki kama nipo sehemu gani nikamtajia akaniomba nisogee maeneo ya tanesco mikocheni basi nikachukua bajaji mpaka pale nikamcheki jamaa akasema nisihofu analeta baada ya muda akapiga kwa simu ya bodaboda na kuniambia jamaa analeta bag Langu na vitu vyote vikiwa ndani ya bag ila 50000 iliyokuwa kwenye bag haitokuwepo nikamjibu sawa baada ya muda mfupi bodaboda kutoka kwa Makoma akaja na kuniambia kuna jamaa kaenda kijiweni na kumwambia apeleke mzigo hapo tanesco na atanikuta Mimi ....basi nikachuku mzigo nikalipa buku Tatu jamaa akaondoka zake ......
Basi nikacheki vitu kwenye bag ...kila kitu nilikuwa kama kilivyo except hyo elfu 50000 basi nikampigia jamaa nikamwambia nimepata mzigo wote .
Fundisho:
[HASHTAG]#Ukiwa[/HASHTAG] na vitu muhimu hasa docs usiweke kwenye gari ....
[HASHTAG]#Hakikisha[/HASHTAG] unapopaki gari kuwe na ulinzi makini...
Mwisho:
Nashukuru Mungu nimepata vitu vyote maana kulikuwa na kila kitu kunihusu Mimi .....nimeandika hivi kwasababu wako wengi wameibiwa sehemu hiyo labda wamepata vitu vyao kama Mimi au ndo vimekwenda.....
## sorry kwa typing yangu wakuu ...