fredymkanza
JF-Expert Member
- Jun 19, 2016
- 284
- 152
Juzi Gwajima wakati anaongea habari ya gari la Mheshimiwa Makonda T 500 DAR alilodai kapewa na NAS HAULAGE Alitumia kauli hii Nanukuu :Huyu jamaa amemtisha muislam wa watu ampe Ile landruiser luxus sijui kwa nini anawaonea waislam namna hii: mwisho wa kunukuu. Kwa kauli hizi anatengeneza nini maoni yenu tahadhali