figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,658
- 55,485
Ajali imetokea nduruma darajani, kwa bahati mbaya tumempoteza dada mmoja. Basi limefail break ikagonga daladala. Poleni wote
Mkuu Nduruma ni wapi?
Nduluma ndio wapi? Halafu toa habari kamili bhana
Hapa "m"ungu ni yupi mkuu sababu mimi namjua huyu anaeanza na herufi hii,,"Mungu,,Kazi ya mungu haina makosa.
Kilirekebishwa baadae mkuuKichwa cha habari kinasema Arusha