Endapo Mh Rais hatomchukulia hatua Mkuu wa mkoa, Je Mtamchukuliaje Mh Rais?

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,680
8,867
Wanabodi nimewaza kwa sauti endapo Mh Rais asipochukua hatua yoyote kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam na kuna vithibiti na uchunguzi umefanyika na footprint zipo na hadi sasa Jeshi la Polisi lipo Kimya, je Ndugu wananchi mliompigia Kura Mh Rais mtamchukuliaje???
 
Wanabodi nimewaza kwa sauti endapo Mh Rais asipochukua hatua yoyote kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam na kuna vithibiti na uchunguzi umefanyika na footprint zipo na hadi sasa Jeshi la Polisi lipo Kimya je Ndugu wananchi mliompigia Kura Mh Rais mtamchukuliaje???

Tunachukulia poa tu ndugu kwani vipi?
 
Uzuri ameshasema haendishwi na mitandao na wala hapangiwi la kufanya.
Nitamchukulia kama kiongozi "anaejielewa sana" katika karne hii 21. Ambae kwa "nguvu" zake mwenyewe amefanya mengi, inawezekana na kura alijipigia mwenyewe.
 
Wanabodi nimewaza kwa sauti endapo Mh Rais asipochukua hatua yoyote kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam na kuna vithibiti na uchunguzi umefanyika na footprint zipo na hadi sasa Jeshi la Polisi lipo Kimya je Ndugu wananchi mliompigia Kura Mh Rais mtamchukuliaje???
Nkuu wa mkoa tena...
 
Sikutegemea tofauti na alivyosema.
Ila nimeridhika na nafsi yangu kuwa Bashite ndiye RC na alivamia taasisi huru akiwa na bunduki na askari wa majeshi yetu.

Lakini pia ni mara chache viongozi wa nchi hii kuwajibika au kuwajibishwa.

Ndiyo maana nchi hii neno kutumbua halipo tena.
Labda ajitumbue yeye kwanza.
 
Wanabodi nimewaza kwa sauti endapo Mh Rais asipochukua hatua yoyote kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam na kuna vithibiti na uchunguzi umefanyika na footprint zipo na hadi sasa Jeshi la Polisi lipo Kimya je Ndugu wananchi mliompigia Kura Mh Rais mtamchukuliaje???

Haina haja ya kumchukulia atua kwa sababu ya chuki za watu....akimchukulia hatua tu mwaka 2020 kura yangu haipati.
 
Natamani watz tungepewa nyoyo za warundi japo kwa saa 3 tu..... Hakuna jiwe lingesalia juu ya jiwe
 
Tutamchukulia kama mtu ambaye haendeshwi na mihemko.
Nape ni nini Jinga kubwa hilo, linapenda kujipendekeza kwa watu anatafuta cheap popularity kashindwa kuifikia anamwonea gele Makonda namchukia xana shenzi huyo.
 
Wanabodi nimewaza kwa sauti endapo Mh Rais asipochukua hatua yoyote kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam na kuna vithibiti na uchunguzi umefanyika na footprint zipo na hadi sasa Jeshi la Polisi lipo Kimya je Ndugu wananchi mliompigia Kura Mh Rais mtamchukuliaje???
Ushasema wamempigia kura raisi, that means walimchagua wenyewe, waache waisome namba wasituchoshe
 
T ni jitu lenye chuki ma double standard labda kama ww haumjui
 
Umeuliza swali la kizamani sana:umejuaje Kama hajamchukulia hatua?Au bado unadhani Rais anapangiwa kazi?
 
Wanabodi nimewaza kwa sauti endapo Mh Rais asipochukua hatua yoyote kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam na kuna vithibiti na uchunguzi umefanyika na footprint zipo na hadi sasa Jeshi la Polisi lipo Kimya je Ndugu wananchi mliompigia Kura Mh Rais mtamchukuliaje???

Nina hakika umeshawahi kumsikia mara kibao akisema tumuombee.
Anayahitaji maombi kama anaamini.
Sasa la kufanya la mwanzo kabisa ni kwa wale ambao tulikuwa tunamuombea aendelee kuwapo madarakani,
TUGEUZE MAOMBI TUOMBE APISHE WENGINE, INAWEZEKANA.
HANA NGUVU ZAIDI YA MUUMBA TUNAYEMUOMBA
 
Nikikuta thread yeyote inayomhusu bashite sichangii chochote kwani nimeshampiga BAN akilini mwangu
 
Back
Top Bottom