Ili migogoro wakulima na wafugaji ikome hili lifanyike

N'yadikwa

JF-Expert Member
Aug 10, 2014
7,121
10,232
Itungwe sheria inayoweka ukomo wa idadi ya mifugo mtu anapaswa kumiliki. Baasi!
 
Itasaidia Kiasi fulani..
Ila ikiwekwa Sheria Kali Dhidi ya wafugaji wanaolisha mifugo yao ktk mashamba ya Wakulima mf.Kufungwa Si chini ya miaka 5 na utekelezaji uwepo ItasaIdia Sana
 
Back
Top Bottom