lossoJR
JF-Expert Member
- Oct 11, 2012
- 2,711
- 2,383
hii tabia imekithiri sasa,mara kadhaa nikitembelea viwanja mbalimbali vya burudani nimekutana na hii hali ya udhalilishaji wa muziki wa injili kwakuupiga katika kumbi za starehe,huku raia wakishangilia kwa nguvu nyimbo hizo mfano. (Mfalme wa amani,kwetu pazuri,njoo ufanyiwe mahombi nk.), tafadhali tuheshimu muziki huu wala austahili maeneo hayo,ambayo asilimia kubwa ya muwapigiao wanakua nusu utupu,huku wakinengua mauno kama feni bovu.