Chuo cha T.I.A ni jipu linalotakiwa kutumbuliwa na Rais

Dec 5, 2016
20
13
Chuo hiki kimekuwa kikitumia hela za wanufaika wa mikopo kwa manufaa yao binafsi pale wanapoona inafaa ndipo huzitoa kwa wanafunzi husika.

Mfano taarifa kutoka bodi ya mikopo zinaonesha chuo kimeingiziwa hela toka tarehe 16/2/2017, cha ajabu wanafunzi wamesahinishwa tarehe 22-23/3/2017, na hapo mpaka hela ziingizwe kwenye akaunti za wanafunzi ni hadi wiki ijayo kwenye Jumatano. Kuna uwezekano mkubwa hela hizi wanaziwekeza na kufaidika na riba kwa matakwa yao.

Tunataka tukomeshe uonevu huu kikubwa wanafunzi waishiwa mpaka wanashindwa kuhudhuria vipindi kwasababu ya ukata wa hela na tatizo hili ni la muda mrefu..Tunataka serikali sikivu iwasaidie.
 
Mleta mada chuo mlifungua lini na matokeo yametoka lini tuanzie hapo
 
Back
Top Bottom