Kwa wadau wa maendeleo, Naomba kufahamishwa sababu ya kufungwa viwanda vya Foma na afritext !!

tupa_jr

Member
Jan 28, 2017
23
22
Nimekulia Tanga ambayo ilikuwa imeshamiri Viwanda vya kila aina kama Chuma, Mbolea, Mbuni (sabuni), Mkonge etc.
Ila hivi karibu nasuhudia kiwanda cha FOMA na AFRITEXT vinafungwa bila kujua sababu.
Wakuu kwa ambaye anajua sababu ya kufungwa Viwanda hivi viwili naomba anijuze..!!
 
Unanikumbusha Tanga ya zamani,nilipokuwa naishi Tanga.Tanga iliyokuwa na viwanda,bandari inayofanyakazi 24/7,reli,mashamba makubwa ya mkonge na viwanda vyake vya kutengeneza kamba,mazulia,vikanyagio nk.Amboni Plastics,Foma(sabuni),Mbuni (sabuni),Hongera(sabuni),chuma,nk.
 
Nimekulia Tanga ambayo ilikuwa imeshamiri Viwanda vya kila aina kama Chuma, Mbolea, Mbuni (sabuni), Mkonge etc.
Ila hivi karibu nasuhudia kiwanda cha FOMA na AFRITEXT vinafungwa bila kujua sababu.
Wakuu kwa ambaye anajua sababu ya kufungwa Viwanda hivi viwili naomba anijuze..!!
Tanga wateja wakubwa walikuwa wale maelfu ya wafanyakazi wa mashamba ya mkonge.Mkonge ulipokufa kifo cha mende na Tanga ikafa rasmi na kuwa mji mkongwe
 
Back
Top Bottom