Mazezele
Member
- Dec 30, 2012
- 28
- 7
Nawaza kwa kulia, mbona jumuia za kidini mpo kimya, nini kilicho wasibu, HAKUNA waraka wowote juu ya mihemuko hii iliyopanda kichwani mwa watanzania, Nani atuongoze kukemea haya, tumekuwa Kama Wana wa Israel kwenye mlima wa Babel, hatuelewani kabisa, sio wanaaiasa, wanahabari, wananchi, wote tunayumba, sisi waumi wenu tunawategemea Sana kwa mustakabali wa nchi yetu. HEBU SEMENI NCHI YETU IPONE