Kumuelewa Kiongozi Ni Hekima.

zoeca

Senior Member
Nov 24, 2010
130
11
Tambua amepataje nafasi Hiyo,
Linganisha na maamuzi ya nafasi alizowahi shika,
Kuwa mkweli, acha mihemko utamuelewa.
kuna series moja, "Designated Survivor "
Penda sana hii kitu.
TUACHE KUPIGA Kelele tumpe Kiongozi Mda na Yeye achambue bila kuonea upande.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom