Kibonde anamsifia rais kila jambo, kulikoni?

Kibonde anamsifia rais kila jambo, kulikoni?

Jux juma

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2017
Posts
871
Reaction score
691
Wakuu habarini
Nimekuwa nikifatilia kipindi cha jahazi na kushuhudia huyu mzee aitwae Kibonde amekaa kiupande mmoja yaani kila muda ni kumsufu rais hata inapoonekana anaenda sivyo na pia hata habari inapokuja isiyoegemea kwa rais huyu jamaa anakaa kujikanyaga akitetea
Hivi huyu jamaa anatumika au vipi?
 
  • Thanks
Reactions: 7ve
Kibonde yuko kwenye shirika la nyumba la taifa NHC ni kama msemaji vile maana kila panapokua na maswala yanayo usu NHC anakuwepo
 
Wakuu habarini
Nimekuwa nikifatilia kipindi cha jahazi nakushuhidia uyu mzee aitwae kibonde amekaa kiupande mmoja yani kila mda nikumsufu rais ata inapoonekana anaenda sivyo na pia hata habari inapokuja isiyo egemea kwa rais uyu jamaa anakaa kujikanyaga akitetea
Iv uyu jamaa anatumika au VP
Hajielewi msamehe bado anamini katika kubebwa ajistukii hata umri wake umeenda bado anapiga kazi za kuajiliwa tu yeye anajiona mjanja kumbe hamna kitu
 
Ni mtumishi katika NHC kam mwanahabari anaogopa malaika hasije akamshukia
 
kaa karibu na waridi unukie,icho ndo anachokifanya mnyakyusa kibonde,May be yuko na dream za kuwa mkutugenzi......!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom