UBONGO UNAHUSIKA KTK LUGHA?

Baba Adele

JF-Expert Member
Mar 21, 2017
208
229
Amani iwe kwenu wazalendo.
Naomba kufahamishwa kuhusu tatizo la mtu kutoweza kutamka ama kuunda sentensi zenye maana na katika lugha yake ya kwanza.

Naamini watanzania waliobahatika kupata elimu ya msingi wamejifunza kiswahili km lugha ya kwanza au sanjari na lugha za kikabila lakin kiswaili walikifahamu ktk kipindi cha mwanzo kabisa ya makuzi yao.

Wakati nipo shule kidato cha sita tilipokua tunajifuza lugha za kigeni haswa kiingereza. Kuna kitu tulikisoma katika matamshi ambapo kuna viongo ktk kinywa cha binadam vinahusikia na matamshi "organ of speech" hapa tulijifunza jinsi ubongo unavyohusikia katika ku command viungo hivi kutamka kile ambacho ubonngo umefikiri na unahitaj viungo hivyo vitamke.

Baadae tukajifunza kwanini mtu anakose mfano neno " specific performance" yeye akasema "spepipik papomance" hapa ni kwamba ubongo umekomandi vibaya viongo mpaka ikatokea hivi au mtu anashida ktk viuongo vyake vya kutamka maneno.

Katika somo hili nilijua moja kwa moja kua ligha na ubungo vinq mahuaiano makubwa sana, pia nikajua kua mtu mwenye matatizo ya lugha among other factors ubongo km una shida inaweza kua ni katika sababu.

Swali je. Tatizo la mkulu ktk lugha hasa kiswahili km kushindwa kuunda sentensi sahihi mfano "nimemtuma kutibiwa",na mifano mingi mingine ni ishara ya tatizo ktk ubongo?
 
Back
Top Bottom