Mwandwanga JF-Expert Member Joined Dec 2, 2011 Posts 3,057 Reaction score 1,573 Mar 25, 2017 #1 Tusaidiane kutaja wajumbe wa tume ya Warioba na nyadhifa zao kwa sasa..
kayaman JF-Expert Member Joined Aug 3, 2013 Posts 4,516 Reaction score 10,444 Mar 25, 2017 #2 palamagamba kabudi - waziri wa sheria humphrey polepole - katibu mwenezi ccm NJAA HAIDANGANYI
MKWEPA KODI JF-Expert Member Joined Nov 28, 2015 Posts 28,700 Reaction score 71,128 Mar 25, 2017 #3 Yaani ulivyomtaja tu warioba nimekumbuka vibao alivyozabuliwa na makonda mpaka akashindwa kuendelea na mdahalo na ndiyo ikawa mwisho wa mdahalo
Yaani ulivyomtaja tu warioba nimekumbuka vibao alivyozabuliwa na makonda mpaka akashindwa kuendelea na mdahalo na ndiyo ikawa mwisho wa mdahalo