mxyo16
JF-Expert Member
- Mar 29, 2011
- 1,243
- 758
Zinaitwa white squatter camps...hakuna maji ya bomba wala umeme...wanaishi unskilled whites ambao imekua vigumu kupata kazi baada ya ANC kuingia madarakani na kuhamasisha ajira kwa wingi kwa skilled blacks....na hii idadi ya wazungu masikini inaongezeka SA.....
Duh kwakweli hatujazoea kuona hali hii....
South ina watu karibia 50 milion....ila hizi squaters zipo karibu 80 ...ripoti ya Daily Mail.
Comments section, wazungu wanahamasishana kuokoa jahazi- image ya wenzao in SA. Tuwaombee nafuu kwa mungu nawao pia