ngolombwanje
Member
- Mar 20, 2017
- 19
- 27
Mhe Rais katika ziara zake za ghafla bandarini, mwezi Machi 2017 alielezwa kwamba kwa sasa idadi ya meli imeongezeka na kuwa 30 kwa siku, na kwamba kuna 30 nyingine zipo foleni zinasubiri kuingia.
Takwimu hii ilionyesha kumfurahisha Mhe hata mimi pia.
Naungana naye kuhoji wale wapiga filimbi kwamba meli hamna bandarini mbona kwa sasa hawaonekani kuja kutuletea hizo takwimu za mizigo bandarini na hali ilivyo kwa sasa?
Mtoa taarifa alisema mizigo na kodi zimeongezeka kwa sasa.
Ninaimani kwa speed hii zile mil 50 zilizoahidiwa kila kata zitapelekwa na tutarukaruka soon ni swala la uvumilivu.
Hongera Mhe Rais!