Ipi dhana ya kiongozi kutawala kwa miaka 5,halafu CC-NEC kujadili upya.

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Oct 28, 2012
20,051
23,500
Lipi lilikuwa lengo la mwl.J.K NYERERE,kutuweke swala hili?..
•NADHANI LENGO LILIKUWA KUPIMA UTENDAJI WA KIONGOZI,KWA KINA KABLA YA KUMPITISHA,KWA KUZINGATIA UMOJA WETU WA KITAIFA KAMA KIPAUMBELE NAMBARI MOJA.
 
Mkuu bado sijajua lengo lako juu ya uzi huu. Kwasababu umeuliza na kujijibu mwenyewe.
 
Back
Top Bottom