evonik
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 3,998
- 5,150
Wakuu,
Natumai mu wazima na mnaendelea na Shughuli za Kila siku, kwa upande wa wenzangu wa "SCHOOL OF JOURNALISM "
Naomba niwape Pole kwa yaliyotokea kwenye tasnia yenu katika juma hili najua mpo kwenye kipind cha MAJONZI lakini Polen sana.
Naomba niingie moja kwa moja kwenye lengo la Uzi huu kama kichwa kinavosema, nimekuwa nikisikia kuhusu" Idara ya Habari na Maelezo" lakini Bado Sijapata kuelewa kwa undani kuhusu hili, Pia najua kipo Dar es salaam, lakini nachelea Kusema nitafurai zaidi kama nitaeleweshwa zaid. Kuhusu umiliki wake (Uma /Binafsi) na mengine mengine zaidi, KARIBUNI kwa mchango atakayewiwa na wengine wote.
NAWASILISHA........