Gwajima kesho hatozungumzia suala la makonda hilo msahau, kama akijaribu ataisoma.

chotera

JF-Expert Member
May 19, 2016
6,485
15,581
Wakuu Salaam.
Gwajima na wengineo mnaopeana pole sasa ni wakati wenu kukaa kimya , Raisi kaingia front mwenyewe sasa mjifanye vichwa vigumu na intellijensia zenu za uongo uongo mtapotezwa kama ilivyopangwa , fanyeni yenu mengine yaacheni, hata simu zenu za mipango yote toka mwanzo watu walishazisikia, .
 
Wewe wasema.
 
Raisi ni raisi hata umchukie VP atabaki kuwa raisi na ukileta vyoko atakunyoosha tu.
 
kesho atakuwa yupo na marafiki zake mkude Simba na stani bakora ambao wataperform mubushara ..
bcb1ea816cfbf9c785e0a1c101eb6ed6.jpg
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Huyu katokea wapi?, wewe nenda kacheze unakochezaga sio kutishia watu hapa, umetumwa na sizonje au bashite
 
Kama unampa kichwa Rais apoteze muda kujibizana na Makanisa na kila anayepiga mluzi basi viwanda ni ndoto.
Hata Yesu na Mtume walipingwa hadharani tena bila woga nao hawakupoteza muda kujibizana ila walifanya kazi iliyowaleta.
Kama kweli Rais Magufuli ameacha kazi za maana na kuchagua kazi za kushindana na kina Gwajima na kila anayesema tofauti kwenye mitandao, hii ni dharau kubwa umeionyesha kwa Rais.
Kumbuka huyu kachaguliwa na watu kama mil. 8 hivi dhid ya mil. 6, kwa takwimu hizi maana yake Rais anatambua kuna watu hawakukubaliana naye sasa ni jukumu lake kuwatendea wema na sio kuwachukia kwanini walimpinga na bado hawakubaliani na matendo yake.
Jukumu la Rais wa nchi sio kushindana na wananchi ila ni kuwatumikia na kuwaongoza njia kwani yeye ndio baba wa taifa husika.
Rais kama atataka kila mtu amfurahishe basi atapata tabu sana kwani hilo halitatokea kwa binadamu yoyote yule.
Jiulize binadamau walioumbwa na Mungu bado wanamhalifu na kumkana sembuse Rais wa nchi?
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Wakuu Salaam.
Gwajima na wengineo mnaopeana pole sasa ni wakati wenu kukaa kimya , Raisi kaingia front mwenyewe sasa mjifanye vichwa vigumu na intellijensia zenu za uongo uongo mtapotezwa kama ilivyopangwa , fanyeni yenu mengine yaacheni, hata simu zenu za mipango yote toka mwanzo watu walishazisikia, .
Subiri!!!
Me najua ataongea,tena mapya kbsa tofaut nakwa namna itakayo muacha salaama tu
 
  • Thanks
Reactions: SDG

Similar Discussions

Back
Top Bottom