Mwambieni Isha Mashauzi account jina lake linatumika kuwatapeli watu Kenya

illegal migrant

JF-Expert Member
Oct 18, 2013
1,277
1,121
Saidieni kumwambia kuna mtu anatumia jina lake anatapeli watu kenya kama inavyoonekana pichani huyu ni msanii mkubwa asijekungia kwenye kashfa
Screenshot_2017-03-25-12-58-53.png
 
Page za mastaa zenye uhakika ni zile ambazo ziko verified inamaana nyinyi mnapapalika na jina na picha hadi wanawatapeli
 
Back
Top Bottom